Exclusive: Siku-Enjoy ndoa nilikamilisha picha tu, nilitengeneza pesa kidogo

Elia Bennet

Jan 13 2023 • 20 mins

Mwimbaji Staa wa Bongofleva Ben Pol ameiambia AMPLIFAYA ya Clouds FM kwenye Exclusive Interview kuwa hakuifurahia ndoa yake kama alivyotarajia na kukiri kuwa hali ilikua tofauti na jinsi Watu wengi kwa nje walivyokuwa waki-imagine kupitia picha mbalimbali alizokuwa akiziweka mtandaoni.