PODCAST EPISODE

Sherehe za Eid za ashiria mwisho wa mwezi mtukufu wa Ramadan

SBS Swahili - SBS Swahili

May 2 2022 • 5 mins


Waislamu kote duniani wame sherehekea mwisho wa mwezi Mtukufu wa Ramadan, kwa chakula, sala na kujumuika na familia baada ya mwezi mzima wakufunga.